Swali: Je, inajuzu kukusanya kwa kutanguliza kati ya Dhuhr na ´Aswr au Maghrib na ´Ishaa na pamoja na kujua kwake kihakika kwamba atawasili nchini mwake kabla ya kuingiya wakati wa [swalah ya] pili?
Jibu: Ndio, inajuzu hivyo.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 33
- Imechapishwa: 07/08/2020
Swali: Je, inajuzu kukusanya kwa kutanguliza kati ya Dhuhr na ´Aswr au Maghrib na ´Ishaa na pamoja na kujua kwake kihakika kwamba atawasili nchini mwake kabla ya kuingiya wakati wa [swalah ya] pili?
Jibu: Ndio, inajuzu hivyo.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 33
Imechapishwa: 07/08/2020
https://firqatunnajia.com/atafika-mchini-mwake-kabla-ya-swalah-ya-pili/