Swali: Ni ipi hukumu ya kukusanyika kwa ajili ya kutoa pole?
Jibu: Wanachuoni wetu wamesema kuwa imechukizwa. Ikiwa anataka kumpa pole basi afanye hivo msikitini na kwenginepo. Akiwa ni mwanamke basi fanye hivo kwa simu.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 35
- Imechapishwa: 30/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kukusanyika kwa ajili ya kutoa pole?
Jibu: Wanachuoni wetu wamesema kuwa imechukizwa. Ikiwa anataka kumpa pole basi afanye hivo msikitini na kwenginepo. Akiwa ni mwanamke basi fanye hivo kwa simu.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 35
Imechapishwa: 30/08/2020
https://firqatunnajia.com/haifai-kukusanyika-kwa-mfiwa-kwa-ajili-ya-kumuazi/