Atafika nchini mwake kabla ya swalah ya pili

Swali: Je, inajuzu kukusanya kwa kutanguliza kati ya Dhuhr na ´Aswr au Maghrib na ´Ishaa na pamoja na kujua kwake kihakika kwamba atawasili nchini mwake kabla ya kuingiya wakati wa [swalah ya] pili?

Jibu: Ndio, inajuzu hivyo.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 33
  • Imechapishwa: 07/08/2020