Aswali vipi aliyeko jangwani na kwenye nguo zake kuna najisi?

Swali: Kuna mtu yuko jangwani na hana maji na kwenye nguo yake kuna najisi. Afanye nini kwa nisba ya swalah?

Jibu: Aswali na nguo zake. Afanye Tayammum na aswali na nguo zake. Asiswali uchi. Ni mwenye kupewa udhuru.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23724/كيف-يصلي-من-كان-بالصحراء-وفي-ثوبه-نجاسة
  • Imechapishwa: 13/04/2024