Ameswali na nguo yenye picha ya kiumbe mwenye roho

Swali: Vipi kuswali na nguo ilio na picha ya viumbe wenye roho?

Jibu: Haijuzu. Analazimika kuivua. Hata hivyo swalah yake ni sahihi.

Swali: Je, arudie swalah? Je, swalah yake ni sahihi?

Jibu: Swalah yake ni sahihi. Ni lazima kwake kutubia.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23726/حكم-الصلاة-في-ثوب-به-صور-ذوات-ارواح
  • Imechapishwa: 13/04/2024