Swali: Maneno ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Allaah ataziweka mbingu kwenye kidole.”
Je, tumthibitishie Allaah kuwa na kidole kutokana na Hadiyth hii?
Jibu: Na je wewe una mashaka juu ya hili? Ndio. Yule asiyethibitisha kidole ni Mu´attwil. Hili limesihi kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Vilevile hili limetajwa katika Tawraat. Kuna myahudi alikuja kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kumuuliza juu ya hilo na akamsadikisha na akapendekezwa na hili na akacheka (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) mpaka magego yake yakaonekana kwa kuwa ni katika mambo alosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-2-13.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Maneno ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Allaah ataziweka mbingu kwenye kidole.”
Je, tumthibitishie Allaah kuwa na kidole kutokana na Hadiyth hii?
Jibu: Na je wewe una mashaka juu ya hili? Ndio. Yule asiyethibitisha kidole ni Mu´attwil. Hili limesihi kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Vilevile hili limetajwa katika Tawraat. Kuna myahudi alikuja kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kumuuliza juu ya hilo na akamsadikisha na akapendekezwa na hili na akacheka (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) mpaka magego yake yakaonekana kwa kuwa ni katika mambo alosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-2-13.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/asiyethibitisha-kidole-kwa-allaah-ni-muattwil/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket