Swali: Je, uongo ni katika madhambi makubwa

Jibu: Ndio.

لَّعْنَتَ اللَّـهِ عَلَى الْكَاذِبِينَ

“Laana ya Allaah iwe juu ya waongo.” (03:61)

Uongo ni katika madhambi makubwa. Hata hivyo unazidiana. Uongo mkubwa ni kumsemea uongo Allaah na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-2-8.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020