Swali: Asiyesikia Khutbah kutokana na kuwa kwake mbali na Imamu ni wajibu kwake kunyamaza na asizungumze?

Jibu: Hapana. Asiyemsikia Imamu kutokana na umbali wake hakuna neno akazungumza kwa kukosekana kipingamizi. Ama ikiwa hamsikii Imamu kutokana na kasoro katika kusikia, hapana, huyu haijuzu kwake kuzungumza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014