Swali: ´Arshi na Kursiy vilikuwa wapi; juu ya ardhi au chini ya ardhi?
Jibu: Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah wanaamini kuwa ´Arshi na Kursiy viko juu ya mbingu, mbingu iko juu ya ardhi imeizunguka.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/148)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Swali: ´Arshi na Kursiy vilikuwa wapi; juu ya ardhi au chini ya ardhi?
Jibu: Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah wanaamini kuwa ´Arshi na Kursiy viko juu ya mbingu, mbingu iko juu ya ardhi imeizunguka.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/148)
Imechapishwa: 23/08/2020
https://firqatunnajia.com/arshi-na-kursiy-viko-ardhini-au-mbinguni/