´Arshi na Kursiy viko ardhini au mbinguni?

Swali: ´Arshi na Kursiy vilikuwa wapi; juu ya ardhi au chini ya ardhi?

Jibu: Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah wanaamini kuwa ´Arshi na Kursiy viko juu ya mbingu, mbingu iko juu ya ardhi imeizunguka.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/148)
  • Imechapishwa: 23/08/2020