Swali: Baadhi ya watu husema kwamba Muhammad ´Abduh anazingatiwa ni katika Mujaddiduun kwa ajili ya Da´wah katika wakati wa sasa ukiongezea na Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab. Je, haya ni sahihi?

Jibu: ´Aqiydah ya Muhammad ´Abduh haikusalimika. Hivyo hazingatiwi ni Mujaddid. Kuna kasoro katika ´Aqiydah yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (22)
  • Imechapishwa: 01/10/2021