Anayotazama mposaji kwa mwanamke

Swali: Kuna mipaka ipi iliyowekwa katika Shari´ah mchumba kumtazama yule mwanamke anayetaka kumchumbia?

Jibu: Atazame yale yatayomvutia kwake; uso wake, mikono yake na nywele zake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 16/07/2017