Swali 11: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Yeyote aliyeweza kufanya hajj na asihiji, basi afe akitaka myahudi au mnaswara.”[1]
Nini maana ya hilo?
Jibu: Hadiyth hii katika usahihi wake kuna mtazamo. Maana – ikiwa Hadiyth ni Swahiyh – ni kwamba akifa, basi kunakhofiwa kwamba atakuwa kafiri ama pamoja na mayahudi au pamoja na manaswara.
[1] at-Tirmidhiy amepokea mfano wake (812) na akasema:
”Hadiyth hii ni ngeni.”
Ni dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (5860).
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/23)
- Imechapishwa: 08/05/2026
Swali 11: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Yeyote aliyeweza kufanya hajj na asihiji, basi afe akitaka myahudi au mnaswara.”[1]
Nini maana ya hilo?
Jibu: Hadiyth hii katika usahihi wake kuna mtazamo. Maana – ikiwa Hadiyth ni Swahiyh – ni kwamba akifa, basi kunakhofiwa kwamba atakuwa kafiri ama pamoja na mayahudi au pamoja na manaswara.
[1] at-Tirmidhiy amepokea mfano wake (812) na akasema:
”Hadiyth hii ni ngeni.”
Ni dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (5860).
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/23)
Imechapishwa: 08/05/2026
https://firqatunnajia.com/anayeweza-kuhiji-na-hakuhiji/