Anayetaka kukaa I´tikaaf kisha akajiondoa

Swali: Makusudio ya maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Yule mwenye kutaka kukaa I´tikaaf… “

Bi maana mwenye kuingia?

Jibu: Kabla ya kuingia. Ametaka lakini hajakamilisha. I´tikaaf inapendeza. Ni jambo la kujitolea. Hapana vibaya endapo atajiondoa. Kama ambavo hapana vibaya pia ikiwa atafanya I´tikaaf.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23822/حكم-من-اراد-الاعتكاف-ثم-بدا-له-ان-يخرج
  • Imechapishwa: 15/05/2024