Anayekufa katika Ramadhaan kunajulisha alikuwa mwema?

Swali: Je, kumethibiti fadhilah kwa mtu anayekufa ndani ya mwezi huu [wa Ramadhaan] na kwamba kunajulisha wema wa maiti huyo?

Jibu: Kumepokelewa, lakini hayakuthibiti.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 76
  • Imechapishwa: 15/03/2024