Anayeacha swalah atadumishwa Motoni milele – bado wasubiri nini?

Swali: Je, mwenye kuachwa swalah atadumishwa Motoni milele? Ni ipi dalili ya hilo?

Jibu: Ndio. Maoni sahihi ni kwamba atadumishwa Motoni milele. Hili ni kujengea maoni sahihi yanayosema kwamba kuacha swalah ni ukafiri mkubwa na kwamba kunamtoa katika Uislamu. Kafiri ambaye ametoka katika Uislamu atadumishwa Motoni milele. Kuna Aayah nyingi ambazo zimethibitisha kwamba makafiri watadumishwa Motoni milele.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/01.mp3
  • Imechapishwa: 03/08/2018