Swali: Kuna mtu anaomba asiyekuwa Allaah. Nikamjulisha kwamba kitendo hichi ni shirki. Lakini hata hivyo hakuitikia. Je, nimhukumu shirki au hiyo ni kazi ya wanachuoni?

Jibu: Hatumhukumu mpaka tusikie anayoyasema na tuijue hali yake; je, ni mwenye akili timamu au ametokwa na akili? Haya ni lazima warejelewe wanachuoni na wamfikishie katika nchi yake ili awe juu ya bayana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 58
  • Imechapishwa: 03/08/2018