Swali: Je, inajuzu kuwanadi Malaika walioko pamoja kutaka msaada kutoka kwao wa kuamshe kuswali usiku?
Jibu: Umejuaje kuwa wako pamoja na wewe? Je, unawaona? Haijuzu kufanya hivi. Ndugu yako anaweza kukusaida kukuamsha kuswali usiku au unaweza vilevile kuweka alamu ya kukuamsha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (08) http://alfawzan.af.org.sa/node/2123
- Imechapishwa: 05/07/2020
Swali: Je, inajuzu kuwanadi Malaika walioko pamoja kutaka msaada kutoka kwao wa kuamshe kuswali usiku?
Jibu: Umejuaje kuwa wako pamoja na wewe? Je, unawaona? Haijuzu kufanya hivi. Ndugu yako anaweza kukusaida kukuamsha kuswali usiku au unaweza vilevile kuweka alamu ya kukuamsha.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (08) http://alfawzan.af.org.sa/node/2123
Imechapishwa: 05/07/2020
https://firqatunnajia.com/anawaomba-malaika-wamuamshe-kuswali/