Anatoa rushwa kwa ajili ya kupewa cheti cha makazi ili aweze kuhiji

Swali: Baadhi ya watu wanatoa Riyaal 1000 kuwapa wale wanaofahamiana ili wawape vyeti vya makazi. Je, wapewe ruhusa ya kuhiji? Ni ipi hukumu ya hajj hii?

Jibu: Hajj yake ni sahihi iwapo kutatimia masharti na kusiwepo vikwazo. Lakini kinachobaki kuangaliwa; je, inafaa kwa mtu kuwapa rushwa wale wahusika ili wakhalifu nidhamu za nchi kwa ajili ya rushwa hii?

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (42) http://binothaimeen.net/content/97
  • Imechapishwa: 20/12/2018