Anataka kumrudishia kafiri pesa yake baada ya kutubia

Swali: Muislamu akimuibia kafiri kisha akatubia na akataka kumrudishia pesa yake lakini asiweze kukutana naye afanye nini?

Jibu: Amtolee swadaqah.

Swali: Je, swadaqah anayotolewa kafiri inamfaa?

Jibu: Ndio, inamfaa hapa duniani.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22271/حكم-التصرف-بمال-الكافر-اذا-تعذر-تسليمه-له
  • Imechapishwa: 21/01/2023