Swali: Je, ambaye amezama anaswaliwa swalah ya jeneza?
Jibu: Ambaye amezama anaswaliwa. Mashahidi wote wanaswaliwa isipokuwa yule shahidi ambaye ameuliwa katika uwanja wa vita. Vinginevyo mashahidi wote wanatakiwa kuswaliwa isipokuwa tu yule shahidi ambaye amekufa katika uwanja wa vita.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22717/هل-يصلى-على-الغريق
- Imechapishwa: 04/08/2023