Swali: Baadhi ya nyakati huzungumza vibaya na mume wangu kitu ambacho kinamkasirisha. Matokeo yake ananikata na kunihama. Nashindwa kumwomba msamaha kwa sababu ya kuona hayaa sana. Je, napata dhambi mume wangu akilala ilihali amenikasirikia napata dhambi?
Jibu: Ni lazima kwako kumridhisha mume wako na ujaribu akusamehe kutokana na uliyoyafanya na usiendelee juu ya kosa. Bali jitahidi akuridhie na pengine akasamehe yale yaliyokutokea. Kufnaya hivo ndio bora. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mume atapomwita mke wake kitandani na asije akalala na huku amemkasirikia, basi hulaaniwa na Malaika mpaka kupambazuke.”[1]
Kwa hivyo ni lazima kwa mwanamke kumtii mume wake na kutoenda kinyume naye.
[1] al-Bukhaariy (3237), Abu Daawuud (2141), Ahmad (02/439) na ad-Daarimiy (2228).
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/أخطئ-على-زوجي-ولا-أعتذر
- Imechapishwa: 12/06/2022
Swali: Baadhi ya nyakati huzungumza vibaya na mume wangu kitu ambacho kinamkasirisha. Matokeo yake ananikata na kunihama. Nashindwa kumwomba msamaha kwa sababu ya kuona hayaa sana. Je, napata dhambi mume wangu akilala ilihali amenikasirikia napata dhambi?
Jibu: Ni lazima kwako kumridhisha mume wako na ujaribu akusamehe kutokana na uliyoyafanya na usiendelee juu ya kosa. Bali jitahidi akuridhie na pengine akasamehe yale yaliyokutokea. Kufnaya hivo ndio bora. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mume atapomwita mke wake kitandani na asije akalala na huku amemkasirikia, basi hulaaniwa na Malaika mpaka kupambazuke.”[1]
Kwa hivyo ni lazima kwa mwanamke kumtii mume wake na kutoenda kinyume naye.
[1] al-Bukhaariy (3237), Abu Daawuud (2141), Ahmad (02/439) na ad-Daarimiy (2228).
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/أخطئ-على-زوجي-ولا-أعتذر
Imechapishwa: 12/06/2022
https://firqatunnajia.com/anamkosea-mume-wake-na-mzito-wa-kuomba-msamahajitahidi-daima-kumridhisha-mume-wako/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)