Swali: Je, inajuzu kwangu kutembelea kaburi la baba yangu au inatosheleza kumuombea du´aa na kumtolea swadaqah kwa kuwa ninahisi kama ninafanya upungufu juu ya haki ya babangu pale ambapo simtembelei makaburini?
Jibu: Yote mawili yakiwezekana kwa wewe kumtembelea na kumuombea, vilevile kumtolea swadaqah, hili ni bora. Ikiwa hukuweza kumtembelea, inatosheleza kumuombea du´aa na kumtolea swadaqah na kumuombea msamaha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket