Anaachika aliyemwingilia mkewe kinyume na maumbile?

Swali: Mwenye kumwingilia mke wake kwenye tupu yake ya nyuma kisha akatubia juu ya hilo amtaliki au amwache?

Jibu: Tawbah inafuta yaliyotangulia. Akitubia tawbah ya kweli na akaacha mchezo huu mbaya, Allaah anamsamehe na mke wake haachiki kwa jambo hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 03/07/2024