Swali: Inafaa kumtii msimamizi wangu ikiwa ananizuia kufunika uso wangu?

Jibu: Hapana:

“Hakuna utiifu kwa kiumbe katika kumuasi Muumba.”

Ikiwa mume wake atamridhia kujisitiri namna hiyo ni vyema. Asipomridhia basi amwache na Allaah atamruzuku ambaye ni bora kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
  • Imechapishwa: 26/07/2024