Ameswali wiki nzima bila kuondoa rangi ya kucha

Swali 89: Vipi kuhusu mtu aliyeswali kwa wiki nzima huku akiwa na rangi ya kucha juu ya kucha zake?

Jibu: Anapaswa kurudia wudhuu´ baada ya kuiondoa, na pia kuswali tena swalah zote za wiki nzima.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 54
  • Imechapishwa: 14/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´