Ni lazima kusogeza mbelenyuma pete wakati wa kutawadha?

Swali 88: Je, inawajibika kutikisa pete wakati wa kutawadha?

Jibu: Hainidhihirikii hivo, kwa sababu maji yanaingia. Hata hivyo akifanya hivo basi ni jambo zuri.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 53
  • Imechapishwa: 14/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´