Wudhuu´ wa aliyesahau kupangusa masikio

86 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu mtu ambaye amesahau kupaka masikio yake maji wakati wa kutawadha?

Jibu: Anapaswa kurudia, kwa sababu ameacha sehemu ya kichwa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 53
  • Imechapishwa: 14/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´