Damu yote inayotoka kwenye tupu ya mbele na ya nyuma

Swali 90: Ni kiasi gani cha damu kinachopaswa kuoshwa?

Jibu: Damu inayotoka kwenye sehemu za siri ni najisi kabisa. Lakini damu kwenye sehemu nyingine za mwili husamehewa ikiwa ni kidogo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 54
  • Imechapishwa: 14/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´