Kupiga nguo na ukuta kwa aliyekosa udongo na vumbivumbi

91 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu mtu asiyepata maji wala udongo analazimika kupiga mikono yake juu ya nguo au ukuta kwa ajili ya Tayammum?

Jibu: Hapana.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 54
  • Imechapishwa: 14/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´