Damu inayomtoka mjamzito siku 1-2 kabla ya kujifungua

Swali 96: Damu inayotoka siku moja au mbili kabla ya kujifungua?

Jibu: Ni damu ya uzazi ikiwa inaambatana na uchungu wa uzazi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 54
  • Imechapishwa: 14/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´