Amesimama ´Arafah kisha akaondoka kabla ya jua kuzama

Swali: Ikiwa mtu atasimama ´Arafah kisha akaondoka kabla ya jua kuzama anakuwa amefanya kinyume na Sunnah au hijjah yake ni batili?

Jibu: Hijjah yake ni sahihi. Lakini anawajibika kutoa fidia. Ikiwa ataondoka ´Arafah kabla ya jua kuzama, basi anatakiwa kutoa fidia na hijah yake bado ni sahihi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24998/حكم-من-وقف-بعرفة-ثم-خرج-قبل-الغروب
  • Imechapishwa: 24/01/2025