Amesababisha watu kufa katika ajali ya gari

Swali: Mtu alipata ajali ya barabarani na watu wengine walikufa naye.

Jibu: Atabeba dhamana akiwa amesababisha ajali kama vile kasi kubwa, kusinzia au kuzembea kwa sababu ya haraka. Hata hivyo hakuna dhambi kwake akiwa hakusababisha. Hili linatokana na trafiki.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22296/ما-ضابط-الضمان-على-من-تسبب-في-حادث
  • Imechapishwa: 09/03/2023