Amepitwa na swalah ya kuomba mvua

Swali: Mswaliji akipitwa na swalah ya kuomba mvua akaja na kumkuta imamu anatoa Khutbah – je, ailipe na kivipi ikiwa inafaa kufanya hivo?

Jibu: Hakuna neno akailipa. Kuilipa ndio bora. Ailipe kutokana na sifa yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (18)
  • Imechapishwa: 15/01/2021