Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Mwanamke yeyote kumwomba mume wake talaka bila ya sababu ya msingi, basi ni haramu juu yaka harufu ya Pepo.”

Ni dalili inayojulisha kuwa ni dhambi kubwa?

Jibu: Ndio, ni dhambi kubwa. Lakini hiana maana kwamba hatoingia Peponi. Ataingia lakini hatohisi harufu hii na Allaah ndiye mjuzi zaidi

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
  • Imechapishwa: 15/01/2021