Swali: Mwenye kukumbuka kuwa hakuswali Dhuhr wakati kunapokiwa swalah ya ´Aswr. Je, aingie pamoja nao kwa nia ya Dhuhr?
Jibu: Hapana, kwa kuwa kupangilia [swalah] ni jambo linawezekana sasa. Aswali Dhuhr kwanza kisha baadae aingie pamoja nao kwa nia ya ´Aswr na akamilishe swalah yake.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (43) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-29.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Mwenye kukumbuka kuwa hakuswali Dhuhr wakati kunapokiwa swalah ya ´Aswr. Je, aingie pamoja nao kwa nia ya Dhuhr?
Jibu: Hapana, kwa kuwa kupangilia [swalah] ni jambo linawezekana sasa. Aswali Dhuhr kwanza kisha baadae aingie pamoja nao kwa nia ya ´Aswr na akamilishe swalah yake.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (43) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-29.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/amekumbuka-hakuswali-dhuhr-wakati-wa-aswr/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)