Amejaaliwa kufunga Shawwaal siku tano peke yake

Swali: Afanye nini muislamu akitaka kufunga siku sita za Shawwaal lakini kutokana na sababu zilizojitokeza hakuweza isipokuwa siku tano peke yake?

Jibu: Anapata thawabu yazo. Ukitoka nje wakati wake basi imemalizika Shawwaal. Hakuna kilichobaki na wala hatolipa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/13264/ما-يفعل-من-صام-خمسة-ايام-من-شوال-ثم-شغل
  • Imechapishwa: 05/05/2022