Swali: Mimi ni mwanamke nilifunga siku sita za Shawwaal ambapo siku ya mwisho ya swawm nikahisi kutokwa na manjanonjano/rangi ya zambarau na damu haikutoka isipokuwa usiku. Je, swawm hii ni sahihi au nirudi kufunga tena siku hii?
Jibu: Swawm ya siku hii ni sahihi. Kwa sababu damu haikutoka isipokuwa baada ya jua kuzama. Mwanamke akihisi hedhi na isitoki isipokuwa baada ya kuzama jua, swawm yake ni sahihi. Ni mamoja iwe ya faradhi au ya Sunnah.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (01)
- Imechapishwa: 10/09/2020
Swali: Mimi ni mwanamke nilifunga siku sita za Shawwaal ambapo siku ya mwisho ya swawm nikahisi kutokwa na manjanonjano/rangi ya zambarau na damu haikutoka isipokuwa usiku. Je, swawm hii ni sahihi au nirudi kufunga tena siku hii?
Jibu: Swawm ya siku hii ni sahihi. Kwa sababu damu haikutoka isipokuwa baada ya jua kuzama. Mwanamke akihisi hedhi na isitoki isipokuwa baada ya kuzama jua, swawm yake ni sahihi. Ni mamoja iwe ya faradhi au ya Sunnah.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (01)
Imechapishwa: 10/09/2020
https://firqatunnajia.com/amehisi-kutokwa-na-damu-lakini-imetoka-baada-ya-jua-kuzama/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)