Swali: Kuna mtu ana deni la Ramadhaan iliopita na hakulipa mpaka sasa. Lipi la wajibu juu yake?
Jibu: Ni juu yake kulipa na kulisha masikini kwa kila siku moja 1,5 kg. Kwa kuwa alichelewesha kulipa zaidi ya mwaka mmoja bila ya udhuru. Ama ikiwa alichelewesha kwa udhuru ni juu yake kulipa tu. Akifunga na akachelewesha kulipa mpaka wakati Allaah atapomjaalia hakuna neno.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali: Kuna mtu ana deni la Ramadhaan iliopita na hakulipa mpaka sasa. Lipi la wajibu juu yake?
Jibu: Ni juu yake kulipa na kulisha masikini kwa kila siku moja 1,5 kg. Kwa kuwa alichelewesha kulipa zaidi ya mwaka mmoja bila ya udhuru. Ama ikiwa alichelewesha kwa udhuru ni juu yake kulipa tu. Akifunga na akachelewesha kulipa mpaka wakati Allaah atapomjaalia hakuna neno.
Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/amechelewesha-kulipe-deni-la-ramadhaan-kwa-udhuru/