Amechelewesha kulipa deni la Ramadhaan kwa udhuru

Swali: Kuna mtu ana deni la Ramadhaan iliopita na hakulipa mpaka sasa. Lipi la wajibu juu yake?

Jibu: Ni juu yake kulipa na kulisha chakula masikini kwa kila siku moja 1,5 kg. Kwa kuwa alichelewesha kulipa zaidi ya mwaka mmoja bila ya udhuru. Ama ikiwa alichelewesha kwa udhuru ni juu yake kulipa tu. Akifunga na akachelewesha kulipa mpaka wakati  Allaah atapomjaalia hakuna neno.

  • Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
  • Imechapishwa: 10/05/2020