Swali: Mtu amealikwa katika harusi mbili wakati mmoja. Aende katika ipi?
Jibu: Anatakiwa kwenda katika ile harusi aliyoalikwa kwanza. Kwa sababu mwenyeji huyo ndiye ana haki zaidi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
- Imechapishwa: 01/10/2023