Swali: Msichana wangu aliacha kufunga baadhi ya siku za Ramadhaan kwa sababu ya machovu. Je, analazimika kutoa swadaqah?
Jibu: Halazimiki kulipa swadaqah, kwa sababu Allaah (´Azza wa Jall) amesema:
فَمَن كَانَ مِنكُم مَّرِيضًا أَوْ عَلَىٰ سَفَرٍ فَعِدَّةٌ مِّنْ أَيَّامٍ أُخَرَ
“Basi atakayekuwa mgonjwa miongoni mwenu, au yuko safarini [akafunga baadhi ya siku], basi [akamilishe] idadi [ya siku anazotakiwa kufunga] katika siku nyinginezo.”[1]
Allaah hakutaja swadaqah yoyote.
[1] 02.184
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/384)
- Imechapishwa: 26/04/2026
Swali: Msichana wangu aliacha kufunga baadhi ya siku za Ramadhaan kwa sababu ya machovu. Je, analazimika kutoa swadaqah?
Jibu: Halazimiki kulipa swadaqah, kwa sababu Allaah (´Azza wa Jall) amesema:
فَمَن كَانَ مِنكُم مَّرِيضًا أَوْ عَلَىٰ سَفَرٍ فَعِدَّةٌ مِّنْ أَيَّامٍ أُخَرَ
“Basi atakayekuwa mgonjwa miongoni mwenu, au yuko safarini [akafunga baadhi ya siku], basi [akamilishe] idadi [ya siku anazotakiwa kufunga] katika siku nyinginezo.”[1]
Allaah hakutaja swadaqah yoyote.
[1] 02.184
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/384)
Imechapishwa: 26/04/2026
https://firqatunnajia.com/ameacha-kufunga-kwa-sababu-ya-uchovu/