Swali: Vipi kujumuisha kati ya Allaah amelingana juu ya ´Arshi na kwamba uso Wake uko mbele ya mwenye kuswali?
Jibu: Uko mbele yake wakati Yuko juu kwenye ´Arshi Yake. Yuko mbele ya mwenye kuswali wakati Yeye (Subhanaahu wa Ta´ala) Yuko juu ya ´Arshi. Allaah halinganishwi na viumbe Vyake. Anauweka uso Wake vile atakavyo (Subhaanah). Yeye juu ya kila kitu ni muweza. Suala hili linahusiana na namna. Sisi hatujui namna.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mqirwani–14340317.mp3
- Imechapishwa: 18/06/2015
Swali: Vipi kujumuisha kati ya Allaah amelingana juu ya ´Arshi na kwamba uso Wake uko mbele ya mwenye kuswali?
Jibu: Uko mbele yake wakati Yuko juu kwenye ´Arshi Yake. Yuko mbele ya mwenye kuswali wakati Yeye (Subhanaahu wa Ta´ala) Yuko juu ya ´Arshi. Allaah halinganishwi na viumbe Vyake. Anauweka uso Wake vile atakavyo (Subhaanah). Yeye juu ya kila kitu ni muweza. Suala hili linahusiana na namna. Sisi hatujui namna.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mqirwani–14340317.mp3
Imechapishwa: 18/06/2015
https://firqatunnajia.com/allaah-yuko-juu-ya-arshi-na-uso-wake-uko-mbele-ya-mswaliji/