Swali: Ni njia ipi bora zaidi ya kueneza mfumo wa Salaf kwa watu na khaswa katika mji wangu?

Jibu: Mafundisho ni njia bora kabisa. Fundishe na usomeshe mfumo wa Salaf kwenye Misikiti, masomo na mihadhara. Hii ndio njia bora kabisa. Haitoshi kulingania katika mfumo wa Salaf bila ya darsa na kufafanua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mqirwani–14340317.mp3
  • Imechapishwa: 18/06/2015