Swali: Mwenye kuvaa soksi kwa kunuia kuwa atapangusa juu yake mara moja na kwa faradhi moja kisha azivue anapata kufanya hivo au ni lazima atimize muda wa kupangusa juu yake ambao ni mchana mmoja na usiku wake?
Jibu: Azivae kwa haja. Akitaka aendelee kuzivaa na huku anapangusa juu yake na akitaka azivue. Hili linarejea katika mapendekezo yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (62) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-03-18.MP3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Mwenye kuvaa soksi kwa kunuia kuwa atapangusa juu yake mara moja na kwa faradhi moja kisha azivue anapata kufanya hivo au ni lazima atimize muda wa kupangusa juu yake ambao ni mchana mmoja na usiku wake?
Jibu: Azivae kwa haja. Akitaka aendelee kuzivaa na huku anapangusa juu yake na akitaka azivue. Hili linarejea katika mapendekezo yake.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (62) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-03-18.MP3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/aliyevaa-soksi-asizidishe-muda-aliyonuia-kupangusa-juu-yake/