Swali: Ikiwa mtu atakosa kuswali Witr hadi baada ya Fajr ni bora kuchelewesha?

Jibu: Aswali wakati wa Dhuhaa. Ikiwa atakosa Witr, basi anaweza kuswali wakati wa mchana; wakati wa Dhuhaa.

Swali: Je, anaweza kwa mfano akaswali baada ya adhaana?

Jibu: Hapana, hapana. Ikifika Subh muda wa Witr umemalizika. Hata hivyo muda mdogo ni wenye kusamehewa kwa mujibu wa baadhi ya wanazuoni. Hapana vibaya kuhusu muda mdogo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24879/ما-يفعل-من-فاته-الوتر-الى-وقت-صلاة-الفجر
  • Imechapishwa: 26/12/2024