al-Haakim ameeleza kuwa amemsikia Abu Sa´iyd bin Abiy Bakr akisema:

”Wakati walipozuka Kullaabiyyah huko Naysaabuur, Abul-´Abbaas as-Sarraaj akaanza kuwapa mtihani watoto na kukataa kuwafunza watoto wa Kullaabiyyah. Siku moja akaniamrisha kusimama kwenye kikao na akasema: ”Sema kuwa unajitenga kwa Allaah kutokana na Kullaabiyyah.” Nikasema: ”Nikisema hivo basi baba yangu hatonipa mkate.” Akacheka na kusema: ”Achana nalo.”

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Siyar A´laam-in-Nubalaa’ (14/395)
  • Imechapishwa: 08/08/2023