Swali: Shaykh wetu Morocco anaitwa al-Maghraawiy, analingania watu kwenye maandamano Marocco na anayaita kuwa ni maandamano ya Kishari´ah kutokana na ambavyo yalivyo.
Jibu: al-Maghraawiy ni maarufu ajulikana kuwa ni Takfiyriy na ni katika Khawaarij. al-Maghraawiy si katika maulamaa wa Ahl-us-Sunanh wal-Jamaa´ah, bali ni Takfiyriy Khaarijiy. Kutokana na hili anachukuliwa ni katika watu wa Bid´ah na matamanio. Na kauli yake hii imejengeka katika mfumo aliomo, mfumo wa Takfiyriy wa Khawaarij.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=lmNYi0up9Vg
- Imechapishwa: 23/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)