Swali: Kugusa tupu ya mtoto wakati wa kumuogesha kunatengua wudhuu´ au hapana?
Jibu: Dhahiri ni kwamba kunatengua. Kwa sababu kumepokelewa:
“… na kugusa tupu.”
Kunaingia ndani yake tupu ya mtoto na ya mkubwa.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=3010
- Imechapishwa: 03/05/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket