al-Waadi´iy mgonjwa wa pumu kutumia sprei mchana wa Ramadhaan

Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia sprei kwa watu wanaopata ugumu wa kupumua?

Jibu: Udhahiri ni kwamba sio chakula wala kinywaji. Kwa hivyo sitambui kuwa inaharibu swawm.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 80-81
  • Imechapishwa: 18/03/2024